Thursday, December 8, 2016

WAMACHINGA WA MWANZA WAANZA KULUDISHA MEZA ZAO BAADA YA JPM KUWARUHUSU#johnleo

Jana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji.

 Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara

0 maoni:

Post a Comment