Tuesday, December 13, 2016

WANANCHI WAZIMIA BAADA YA NYUMBA ZAO KUBOMOLEWA#johnleo

Zaidi ya askari wa 50 wa Jeshi la Polisi waliokuwa na silaha za moto wamesimamia zoezi ubomoaji wa nyumba za wakazi Kivule Magole..''A'' linalofanywa na kampuni ya Msolopa huku baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakipoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali baada ya kushuhudia nyumba zao zikibomolewa bila ya malipo yeyote.

Wanadi kulikuwa na zuio la mahakama kubomoa nyumba hizo na hawakupewa taarifa kuwa zitakuja kubomolewa wakazi 12,000 wameachwa bila makazi. 
 VIDEO:

0 maoni:

Post a Comment