Monday, December 12, 2016

DIAMOND ATOA SALAMU KWA NARIRY#johnleo

Leo December 12 2016 kupitia ukurasa wa instagram wa msanii wa Bongo FlevaDiamond Platnumz amemtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa msanii, producer na CEO wa record label ya The Industry Nahreel.
Kubwa zaidi kupitia salamu hizo ni kuhusuDiamond kusema anamshukuruNahreel kwa kumtambulisha rapper mpya wa kike kupitia yake record label yake Rosa ree kwani ni moja kati ya rappers wa kike anayemkubali na anaupenda wimbo wa msanii huyo  ”One Time”

0 maoni:

Post a Comment