Monday, December 12, 2016

MAENEO ALIPONUNUA KIWANJA KIPYA HARMONIZE#johnleo

Ni Mwimbaji mwingine staa wa Bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi pamoja na ukali wa melody, anaitwa Harmonize kutoka WCB.Staa huyo anaingia kwenye headlines baada ya kununua kiwanja kwa ajili kujenga nyumba yake, kiwanja hicho kipo Mivumoni mbele ya Madale nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
‘Kikubwa zaidi nimefanyakazi na wasanii wengi sana wakina Diamond, Raymond, AY unakuta wengine wanataka kununua nyumba na wengine wanataka kupanga na kwa upande wa Diamond mpaka sasa hivi nimeshamuuzia nyumba 15’;- Dalali
‘Na sasa hivi nipo na Harmonize huku Mivumoni amekuja kutafuta nae kiwanja kwa ajili ya kukamilisha mjengo wake kwa hiyo ni vizuri ukiona vijana kama hawa wanakuja na mawazo mazuri ya kutafuta viwanja, Mivumoni ipo mbele ya madale huku’;-Dalali
Bonyeza play kumsikiliza Dalali Mwanamke kuhusu kiwanja kipya cha Harmonize

0 maoni:

Post a Comment