Thursday, December 15, 2016

WAKAZI AKIFREESTYRY BEAT YA HOLA HOLA SIKILIZA HAPA#johnleo


Holla Holaa ni moja kati ya ngoma ambazo zinakimbiza kinoma noma kwenye playlists tofauti tofauti za wapenzi wote wa muziki mzuri kwa sasa hapa bongo.
Imefanywa na crew ambayo wanajiita Dada Hood ambayo humo ndani wamekusanyika female rappers kama ChemicalRosa Ree,PinckCindy RulzStosh bila kumsahauTammy The Baddest.
Huwezi kuwataja freestylers wakali hapa bongo ukaacha kumtaja Wakazi, sasa juzi mkali huyo alikuwepo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuitambulisha Mixtape yake mpya. Ndipo alipokutana hewani na beat ya ngoma mpya ya Dada Hood (Holla Holaa), vutia picha balaa lake.
Siitaki kukunyima uhondo, play hii video hapa chini kumsikiliza mkali huyo jinsi alivyoumiza kwenye freestyle hiyo.

0 maoni:

Post a Comment