Monday, December 12, 2016

NAFASI YA KAZI TABIBU WASAIDIZI & WAUGUZI WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA , WAZEE NA WATOTO TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA#johnleo

NAFASI YA KAZI WIZARA YA AFYA,MAENDELEO YA JAMII, JINSIA , WAZEE NA WATOTO
Wizara YA Afya , Maendeleo ya Jamii, JiNSIA , Wazee , na Watoto imepeta kibali cha mpango wa ajira ya dharula kwa wataalamu wa fani za tabibu na wauguzi mpango huu utaendeshwa chini ya mradi kwa ufadhili wa  fedha mfuko wa      cdc, award no.           5U2GGHOO1062-03 kwa muda wa miaka miwili
mradi utaajiri watumishi m192 ambao watafanya kazi katika wilaya mbalimbali zenye uhaba wa watumishi wa kutoa  huduma za afya hasa kwa waathirika wa wenye virus ivy UKIMWI . watumishi hawa watalipwa mshahara na stahiki nyingine kwa kufuata  tarabitu na kanuni za serikali. Watumishi wanao takiwa ni
-          TABIBU WASAIDIZI (NAFASI 95) wenye ngazi ya astashahada (CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICAL)
-          WAUGUZI  (nafasi 97 ) wenye ngazi ya astashahada (CERTIFICATE IN NURSING AND MIDIWIFERY)
Wizara inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa zilizotajwa hapo juu , wawe n vitu vifuatavyo
-          Cheti cha kumaliza  kidato cha nne
-          Cheti cha taaluma aliyosomea kutoka kwenye chuo kinachotambulika na serikali barua ya maombi ionyeshe wilaya unayotaka kupangiwa
-          Maombi yatumwe kwa
KATIBU MKUU,
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, NA WATOTO,
6 SAMORAL MACHEL AVENUE,
S.L.P 9083
11478, DAR ES SALAAM,
TANZANIA.

ORODHA YA HALMASHAURI ZA WILAYA NA IDADI YA WATUMISHI WALIOPENDEKEZWA
ARUSHA

NA

MKOA


HALMASHAURI

TABIBU

WAUGUZI

JUMLA
1
arusha
Arusha CC
3
3
6
2
dar es salaam
Ilala MC
3
3
6




Temeke MC
3
3
6
Kinondoni MC
3
3
6
3
dodoma
dodoma MC
2
3
5
4
geita
Geita DC
2
2
4
5
iringa
mufindi DC
3
3
6


Iringa MC
2
2
4
6
kagera
bukoba DC
3
3
6


Muleba DC
2
2
4
7
kigoma
Kigma Ujiji MC
2
3
5
8.
Kilimanjaro
Moshi Dc
3
3
6
9i
Lindi
Lindi DC
2
2
4
10
Mara
Musoms DC
2
2
4
Rorya DC
2
2
4
11
Mbeya
Chunya  DC
2
2
4
Kyela Dc
3
3
6
Mbarali DC
2
2
4
Mbeya DC
3
3
6




Mbozi DC
2
2
4
Rungwe DC
2
2
4
12
Morogoro
Morogoro DC
3
3
6
13
Mwanza
Nyamagana DC
3
3
6
Sengerema DC
2
2
4
14
Njombe
Njombe DC
2
2
4
Wang’ing’ombe DC
2
2
4
15
Rukwa
Sumbawanga DC
2
2
4
Sumbawanga MC
2
2
4
16
Ruvuma
Mbinga DC
2
2
4
Songea MC
2
2
4
17
Shinyanga
Kahama DC
3
3
6
Shinyanga MC
2
2
4
18
Tabora
Igunga DC
2
2
4
Ndega DC
2
2
4
Tabora MC
3
3
6
19


Tanga


Korogwe TC
2
2
4
Muheza DC
2
2
4
Tanga DC
3
3
6

0 maoni:

Post a Comment