Monday, December 12, 2016

FURSA KUINGIA DAR AWAMU HII YOTE YAPO HAPA#johnleo

Leo tarehe 12 kwenye jengo la milleniam tower fursa ongeza zamani yako inaendelea ambapo vijana wengi walihuzulia kwa akili ya kujifunza namna gani wanaweza kujikwamua kichumi kupitia mawazo yao, mtaji wako ni wewe mwenyewe, Binti Neema leo alitoa ushuhuda wake jinsi alivobadilisha maisha yake kupitia fulsa alianza kwa kufuga kuku watano waliongezeka walivofikia 100 na zaidi akaamua kubadilisha mbuzi anatoa kuku watano anapewa mbuzi mmoja, mbuzi nao wakazaana wakawa wengi akawa anabadilisha mbuzi wanne anapewa ngombe mmoja, sasa hivi ana ngombe wanne, mbuzi 29 na kuku 50, na dada huyu ni mfanya kazi wa ndani.

Sources johnleo

0 maoni:

Post a Comment