Tuesday, December 27, 2016

YOONG DEE ASAKWA NA POLICE KWA KUFUTA ACCOUNT YA INSTER YA TUNDA#johnleo

Share this
  • 63
    Shares

Tumepenyezewa za chini ya carpet kutoka kwenye shirika la wambea Duniani Shilawadu kumuhusu hitmaker wa ngoma ya FurahaYoung Dee kuwa yuko hatarini kuwekwa katika mikono ya jeshi la Polisi.
Sababu zinazosemekana kuwa ndio chanzo cha rapper huyo kutafutwa na polisi ni kinachosemekana kuwa amefuta account ya mtandao wa Instagram ya anayesemekana kuwa ni mpenzi wake, bibie Tunda.
Zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha maafisa wa polisi wakiwa nyumbani kwa rapper Young Dee na ndipo hapo mizozo ikaanza kuzuka na habari kusambaa kila kona.
Instagram photo by _MakorokochoMedia _Shilawadu_BO - JPG
Soudy Brown amepiga story na Young Deekwenye U-Heard ya leo December 27 na majibu yote yapo kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play ili kuusanukia ubuyu huo.

0 maoni:

Post a Comment