Monday, December 12, 2016

MANENO YA CHRISTIAN RONARDO BAADA YA KUSHINDA BALLON D'OR

Jumatatu ya December 12 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madridya Hispania Cristiano Ronaldo, staa huyo wa Ureno December 12 ndio siku rasmi aliyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo yaBallon d’Or 2016.
Baada ya ushindi huo wa tuzo ya nne yaBallon d’Or, staa wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya BrazilRonaldinho ambaye amewahi kushinda tuzo hiyo mwaka 2005, ametumia ukurasa wake wa instagram kumpongeza Ronaldokwa ushindi huo, Ronaldinho ametumia lugha ya kireno.
screen-shot-2016-12-13-at-5-13-58-am
“Hongera rafiki yangu Cristiano kwa ushindi wa tuzo hiyo ulistahili na kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa na mafanikio makubwa, tuzo hiyo ni heshima kwa manufaa yako”
VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016

0 maoni:

Post a Comment