Thursday, December 15, 2016

MWANA FA ATAJA NYIMBO BOLA ZA MWAKA 2016#johnleo

Tukiwa katika headlines za kumaliza mwaka 2016 sasa basi leo Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA kazitaja nyimbo 3 za wasanii kutoka Bongoflevani ambazo zinafaa kuitwa bora mwaka 2016.
Staa huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>>Darassa iitwayo Muziki hatari, nakumbuka kuna mtu aliwahi kuniuliza nyimbo zangu tatu miezi miwili iliyopita za mwaka 2016  nikasema Billnas Chafu Pozi, Aje ya Alikiba na nikasema Darasa Too Much ila sasa hivi nimebadilisha nimetoa Too much nimeweka Muziki’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mwana FA akizitaja nyimbo zake 3 zinazofaa kuitwa bora 2016

0 maoni:

Post a Comment