Monday, February 6, 2017

NAPE AMSHAULI MAKONDA KUTUMIA BUSARA KWENYE ISHU YA MADAWA SOMA ZAIDI#johnle


"Lazima itumike busara tusiwahukumu watu kwa tuhuma, unajua kuitengeneza 'brand' ni kazi kubwa sana lakini kuibomoa ni inaweza kuwa ni kazi ya siku moja tena ya sekunde, kusema bwana huyu kichaa brand imekufa. Sisi kama Wizara tunaunga mkono kwa namna yoyote ile mapambano ya dawa za kulevya lakini lazima tuangalie tunafanya jambo hili kwa namna ambayo inalinda hali ya mtuhumiwa na kumpa room ya kesho na kesho kutwa kama ikithibitika kama hausiki bado aendelee kuwa na heshima ile ile aliyekuwa nayo awali" - Waziri Nape Nnauye.

0 maoni:

Post a Comment