Wednesday, February 8, 2017

Gwajima amjibu makonda kujua nini amemjibu ingia hapa kuona#johnleo

 Gwajima amemjibu makonda
amepost picha Na kuandika 
ujumbe huu

Saa chache baada ya kutakiwa kufika polisi na mkuu wa mkoa kwa kutoa taarifa juu ya madawa ya kulevya,Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima Amepost Ujumbe picha huu ambao wataalamu wa mambo wanadai kuwa ni kama jibu kwa Mhe Makonda.

0 maoni:

Post a Comment