Tuesday, February 7, 2017

WASANII WANAOTUHUMIWA KUUZA AU KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA WAACHIWA KWA ZAMANA#johnleo

Habari
Baadhi ya Wasanii wanaotuhumiwa kuhusika na dawa za kulevya kuachiwa kwa dhamana na mahakama kisha kuwekwa chini ya Uangalizi wa Jeshi la Polisi.

Je, hatua hii itasaidia kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa baadhi ya wasanii nchini?

Tuambie maoni yako hapa, kisha usisahau kutazama Habari ifikapo saa 1:30 Usiku wa leo.

0 maoni:

Post a Comment