Wednesday, December 14, 2016

New VIDEO | IZZO BIZNES X ABELA MUSIC- UMENIWEZA#johnleo


“Umeniweza” ndio jina la ngoma, chupa hili limedropishwa leo na mnyama mkali mwenyewe wakuitwa Izzo B, Izzo Bizness akiwa na mtoto mkali mwenye swaga zake apa namzungumzia Abela Music kwa pamoja wanaunda The Amaizing.
Chupa limeongozwa na Hanscana na mdundo wa ngoma hii umepigwa na Abbah.
Chupa hili hapa sanuka nalo

0 maoni:

Post a Comment