Friday, December 16, 2016

IZO BIZNES AELEZA UHUSIANO WAKE NA MLEMBO BELA#johnleo

Msanii Izzo Business amesisitiza juu ya uhusiano uliopo kati yake na msanii Bella ambaye kwa pamoja wameunda kundi la The Amazing na kusema hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi.
Izo B (kushoto) akiwa amepozi na Bella

Akizungumza na East Africa Television, Izzo B amesema alikutana na binti huyo ambaye amekulia Marekani kwenye mtandao wa kijamii, lakini mahusiano makubwa yaliyopo kati yao ni kikazi tu na siyo kama wengi wanavyodhani kuwa ni wapenzi, licha ya binti huyo kuwa mrembo "haswaa....!"
Mtazame hapa chini akifunguka yote hayo na mengine mengi kuhusu muziki wao.

0 maoni:

Post a Comment