Thursday, December 29, 2016

YALIYOMKUTA AOIKIBA KENYA YAMEMKUTA NA TREY SONG KWENYE SHOW YAKE YA DETRPIT#johnleo


Mzimu wa Mendez wa kuzima Mic za watu umedondokea pande za Detroit na kumsababishia Trey songz kufanya majanga stejini.
BigShow
Trey Songz yamemkuta mambo siyo stejini huko Detroit kwenye show ya Channel 955 & FM 98 WJLB’s Big Show at the Joe, baada ya kuzidisha muda wa kuperforme jukwaani na kusababisha kuzimiwa Mic, Sasa mambo yalianza wakati anajigamba pindi alipoambiwa kuwa atazimiwa Mic yake, kama akiendela kuzidisha muda, na mwisho wa siku Mic ikazimwa vurugu mechi ikaanza.
“Eti wanasema watazima Mic yangu! kisa nimetumia muda mwingi, nachotaka kuwafahimisha detroit, wa hapa mbele, mwisho huko, kushoto, kulia..kama ikitokea wakafanya,..nawapenda sana bila kujali chochote..kikubwa nachotaka kufanya ni kuwapa show bora….basi kama wakikata lazima niwaletee uchizi..Zimeni sasa! Zimeni Mic yenu..”Alisema Trey Songz.
Watu waliokuwepo kwenye tamasha hilo wamesema kwamba Trey Songz ameshikiliwa na polisi baada ya kufanya uharibifu huo, ambao umesababisha jeraha kwa shabiki baada ya kuwa anarusha vitu kwa mashabiki.

0 maoni:

Post a Comment