Friday, December 16, 2016

NAFASI YA KAZI SERIKALINI KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA SHULE ZA SEKONDARI TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA

 LISTING

Friday, 16 December 2016 11:33



NAFASI YA KAZI SERIKALINI KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA SHULE ZA SEKONDARI

 Ajira hii ni kwa walimu wa stashahada na shahada za mafunzo ya ualimu wa masomo wa masomo ya hisabati na sayansi waliohitimu mwaka 2015. Wahitimu hao wanatakiwa kuwasilisha nakala za vyeti vyao vya elimu ya sekondari kidato cha nne na sita na taaluma ya ualimu stashahada na shahada kwaajili ya uhakiki

Nakala hizo zitumwe kupitia


P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848.
Fax: Email: ps@tamisemi .go.t z . Website: www.tamisemi.go.tz.

Online Teachers Employment Application System-OTEAS


Tanzango linapatikana kwenye tovuti za ofisi zifuatazo WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, OR TAMISEMI, NECTA , TCU, NA NANCTE

Source KATIBU MKUU WIZAYA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA

0 maoni:

Post a Comment