Stori za wa DADA Wawili Ndani ya Basi Kuelekea TABORA:-
Dada 1: Je, Ungependa Mume wa Aina Gani?
Dada 2: Awe Billionea.
Dada 1: Je, Ukimkosa?
Dada 2: Awe Millionea.
Dada 1: Je, Kama Hatopatikana Huyo?
Dada 2: Basi Mwenye Millioni Anaweza Kufaa
Dada 1: Na kama Hutofanikiwa Kumpata wa Hivyo?
Dada 2: Mwenye Laki Tano Basi!
(mjinga Mmoja Alikuwa Siti ya Nyuma Amelala Akamnong'oneza Jirani Yake) "Wakifika Kwenye BUKU Niamshe!'
😂😂😂😂

0 maoni:
Post a Comment