Friday, December 16, 2016

NAFASI ZA KAZI YA UDEREVA (NAFASI 594) DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA, MTWARA TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA#johnleo

NAFASI ZA KAZI DANGOTE CEMENT KUMBU NO;DIL/A00/2016/01
Kiwanada cha kuzalisha saruji cha DANGOTE Tanzania kilichopo mkoani Mtwara kilomita 23 bara bara ya Lindi, Kata ya Mayanga, Kijiji cha HIARI, kinaalika maombi ya nafasi za kazi za madereva wenye uzoefu wa magari makubwa ya mizigo yasio pungua uzito wa  tani 33 na urefu usiopungua mita 18
DEREV GARI ZA MIZIGO NAFASI 594
SIFA ZA MWOMBAJI
                               I.            Awe na umri wa miaka 26 hadi 55
                            II.            Awe na lesini halali ya daraja E  na mwenye uzoefu usiopungua miaka mi 5 ya kuendesha magari makubwa ya mizigo uzoefu wa kuendesha maroli wenye urefu usiopungua mita 18
                         III.            Uzoufu usiopungua miaka mi 5 kwenye magari ya kuvuta tela
                         IV.            Ajue kuandika taarifa na uzoefu wa kuweka kumbu kumbu zake kwa ufasaha
                            V.            Awe na afya njema, akili timamu,  ari ya kufanya kazi kwa tija, mwadilifu, mbunifu awezaye kujisimamia mwenyewe,  katika kutimiza majukumu atakayo pewa
                         VI.            Awe na wadhamini wanaoaminika na awe tayari kuchukuliwa alama za vidole
                      VII.            Awe na uelewa wa kusoma na kuandika na kusikia  Kiswahili na kingereza kwa uufasaha muhitimu wa kidato cha IV/VI
                   VIII.            awe mtuami mzuri wa muda katika safari atakazo pangiwa  ndani na nje ya nchi
                         IX.            awe na uwezo mzuri wa kupaki garikwene nafasi zinazo bana
                            X.            awe na uwezo wa kusoma kiongoza ramani
VIAMBATANISHO
-          Barua ya maombi ichapishwe au iandikwe kwa mkono
-          Picha 2 za rangi zilizobanwa na vizuri katka barua ya maombi
-          Vyeti vya mafunzo VETA/NIT pamoja na taaluma
-          Cheti au barua kutoka muajiri wa sasa au aliyepita
-          Barua toka kwa wadamini wa 2 wanaoaminika zikiambatana na picha zao
-          Cheti cha afya kutoka hospitali inayotambulika na serikali
-          Cheti za kuzliwa
MSHAHARA KWA MWEZI
DILSS Faraja lla 2 ngazi ya 3
NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
-          Andika nfasi unayoomba upande wa juu kulia  mwa bahasha sambamba na kumbu kumbu namba ya tangazo
-          Pamoja na maelezo ya uombaji onyoesha chanzo cha taarifa ya uombaji
-          Maombi yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani zilizopo hapo chini
-          Barua za mkononi hazitapokelewa
-          Barua zote zitumwe kwA
MKUU WA IDARA YA RASILIMALI WATU NA UTAWALA,
DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA,
S.L.P 1241,
MTWARA
source NIPASHE DECEMBER 16, 2016
  Kwa maulizo wasiliana nasi kwa barua peperecruitment.tanzanis@dangote.co

0 maoni:

Post a Comment