Monday, December 12, 2016

ANGALIA WIZHALIFA ANAVONG'OA JINO#johnleo


Wengi tunafahamu maumivu ya jino yanavyokuwa pale linapoaanza kuuma na pindi linavyoenda kuondolewa, sasa Wizkhalifa ametumia nafasi hiyo na kuifanya kama video flani hivi ya stori kwa mashabiki zake kwa kuonyesha taratibu zote za kung’olewa meno hayo na kuwekewa kwenye kifuko.
Kupitia kurasa yake ya Twitter Wizkhalifa, alishare video hiyo ambayo anatolewa jino la mwisho katika meno yake huku taratibu nyimbo ya “See you again” ikiwa inapigwa kwenye video.

0 maoni:

Post a Comment