Friday, December 16, 2016

MAKOSA YALIYOMSABABISHA MMILIKI WA JAMII FOLAM KUKAMATWA#johnleo


Charge Sheet 1.jpg
458b7e91-5b6f-4c05-a084-0e1fc8bdf865.jpg

a40106a1-919a-4149-b546-ab392f983d09.jpg
IMG-20161216-WA0014.jpg


Habari wanaJF,

Habari za hivi punde ni kuwa Mkuu Maxence Melo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu muda huu...

Update zitafuata

=======

Mkuu Maxence Melo, anatuhumiwa kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi chini ya kifungu cha 22 cha Sheria ya Makosa ya Kimtandao.

========
Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo amesomewa mashtaka matatu kati ya hayo mashtaka mawili amepata dhamana na sasa linasikilizwa shtaka la 3 na dhamana inashughulikiwa.
========
Maxence Melo hajakamilishiwa dhamana ya shtaka la tatu na mwendesha mashtaka. Kapelekwa gereza la Keko kinyemela, yawezekana atarudishwa mahakamani Jumatatu. 

Wadhamini wa shtaka la tatu wamepatikana katika muda lakini upande wa Jamhuri ulikua umeshaondoka. Kwa kawaida mahabusu hupelekwa gerezani saa nane. 

Tofauti na huo utaratibu uliozoeleka, Maxence Melo kaondolewa kinyemela pasipo Mawakili wala ndugu zake kujua na kupelekwa gereza la Keko mida ya saa tano asubuhi.

0 maoni:

Post a Comment