Sunday, December 11, 2016

HIGHLIGHT NA GOLI LA EMMANUEL MARTIN#johnleo

Leo December 10 2016 kocha Lwandamina amekaribishwa kwa kipigo akiwa anaiongoza Yanga katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya JKU ya ZanzibarYanga wakiwa uwanja wa Uhuru, huku mchezo huo ukiaminika ungekuwa mwepesi kwao, wamekubali kipigo cha goli 2-0 magoli yakifungwa na Emanuel Martin.

0 maoni:

Post a Comment