Sunday, December 11, 2016

GADNA G HABASHI AANDIKA HAYA BAADA YA KUMUONA MME WA LADY J DEE#johnleo

http://thechoicetz.com/gadner-g-habashi-aandika-haya-baada-ya-kuona-picha-ya-lady-jaydee-na-mpenzi-wake-mpya/

Jana pale mlimani city kulikuwa na tuzo ambazo nilikuwa zinajumuisha music na bongo muvie zilikuwa tuzo tisa ukiongeza na tuzo moja ya heshima zilifika kumi, lady jaydee ni msanii peke wa kike aliyeweza kunyakua tuzo ya msanii bola wa kike wakati nguli huyo akiwa anaelekea kuchukua tuzo hiyo aliambatana na mme wake kitendo hicho kimewashitua wengi mpaka kufikia gadna g habash kupost akicheka

JIUNGR NA JOHNLEO BLOG
Usichelewe jiunge na johnleo kwa tarifa zote kwa facebook,instergram na twitter lakini usikose kuangalia johnleptz kwenye youtube

0 maoni:

Post a Comment