Sunday, December 11, 2016

ALIKIBA,OMMY DIMPOZ NA BARAKA DA PRINCES WALIVOTIKISA KWENYE AFTER SCHOOL BUSH#johnleo


Share this
  • 54
    Shares

Ilikuwa kama surprise kwa mashabiki pale mfalme wa muziki wa Bongo Fleva Alikibaalipopanda katika jukwaa la After Skul Bash hapo jana ukizingatia hakuwemo kwenye list ya wasanii ambao walitajwa kuperform katika tamasha hilo hapo awali.
Picha lilianza baada ya Baraka Da Princekupanda katika jukwaa na kuanza kufanya yake, ndipo ilipofika time yaa “Nisamehe” watu bila kuamini wamamuona King Kiba kwa stage, shangwe lake sitaki ulivutie picha kwasababu nimekuletea video ya show hiyo.
Kama Kawaida King Kiba aliperform “Nisamehe” na ilipoisha tu, watu hawakuamini macho yao pale baada ya Mr PKP himself,Ommy Dimpoz alipo paramia jukwaa na “Kajiandae” ikashushwa mahsusi kwa wapenzi wa muziki mzuri.
Unataka kushuhudia jinsi ilivyokuwa? Nimekuletea hapa full show, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini.

0 maoni:

Post a Comment