Saturday, December 31, 2016

Home ENTERTAINMENT VIDEO: EXCLUSIVE INTERVIEW YA MH. NAPE NAUYE KWENYE XXL YA CLOUDS FM#johnleo


  • 61
    Shares

Leo kwenye XXL ya CLouds FM Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo muheshimiwa Nape Nauye alikuwa na exclusive interview katika kipindi hicho ilikuzungumzia mengi kuhusu sana na wasanii.
Ni mengi ambayo ameyazungumzia waziri huyo ikiwa ni pamoja na changamoto katika sanaa, kufungiwa kwa wasanii na mengine mengi ambayo yanaihusu wizara ambayo yeye ndiye waziri mwenye mamlaka.
Nimeileta hapa interview hiyo mwanzo hadi mwisho uweze kuyasikiliza mengi ambayo alifunguka waziri Nape. Play hii video hapa chini kusikiliza.

Friday, December 30, 2016

NAFASI ZA KAZI DRIVER-HANSOMTANZANIALIMITED#johnleo

NAFASI YA KAZI DRIVER - HANSOM TANZANIA LIMITED TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 10 JANUARY 2017

Description

Qualifications and Requirements
-A minimum of 2 years experience in driving.
- A valid driver’s license of not more than three years.
-Should have valid references.
-Have a good command of English in daily communication.
Application Instructions

Send your Curriculum Vitae (CV), and copies of certificates by

Hansom Tanzania Limited,
P.O. Box 11722,
Dar Es Salaam.

CHID BENZI AZIDI KUHALIBIWA NA MADAWA#johnleo






#BURUDANI

Hali ya msanii wa kizazi kipya wa kitambo na mtindo wa hiphop Rashid a.k.a. Chid Benz ilivyo kwa sasa baada ya kurejea tena katika dawa za kulevya,kiukweli anatia huruma .....#dawa za kulevya hazifai kabisa,si Chid yule tuliyekuwa tunamfahamu na ngoma zake kali kama Dar es Salaam stand up n.k.......#neno gani la ushauri na msaada zaidi kwake?

NAFASI ZA KASI KAHAMA SHINYANGA WATER SUPLY AND SANTATION KASHWASA#johnleo


KAHAMA SHINYANGA WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY
Kahama Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority is fully autonomous public utility established in accordance with the waterworks Acts Cap 272 which was repealed and replayed and replaced by the water supply and sanitations Act 2009.  The Authority operates a water supply scheme from the Lake Victoria and suppliers to the bulk water to another in both Urban and Rural areas as per government Notice No. 45 of the 23rd February 2007.  The existing bulk water customers include the Shinyanga Urban Water Supply Sanitations Authority, Kahama Urban Water Supply and Sanitations Authority, Ngudu Urban Water Supply.  KASHWASA wishes to recruit the competence Tanzania to fill the following posts
TITLE:                                    WATER TRANSMISSION TECHNICIAN
REPORT TO                         WATER TRANSMISSION ENGINEER
DUTY STATIONS:              MAWILE MISUNGWI DISTRICT
-          Holder of a diploma in Civil /water supply engineering from a recognized technical college
MAIN DUTIES
-          Ensuring pies, valves and other fitting always in good conditional and working properly
-          Finding of water and taking appropriate actions for rectifications of the same
-          Reporting any fault noted in the water transmission pipelines
-          Repairing all water leakages as they occur
-          Carrying out preventive maintenances of water transmission pipelines
-          Performing any other duties as may be assigned by the water transmission engineer
 GENERAL CONDITIONS
In service employee must possess the above qualifications and have at least 4 years working experience and good working record
AGE LIMIT
Note above 45
The posts carry attractive remunerations and fringed be benefit according to the authority scheme of service
PERSONAL ATTRIBUTES
·         High level of integrity , honest and sense of responsibility
·         Team player with the ability to work independently
·         Self-motivated able to remain calm under pressure
·         Resilient
·         Committed to deliver work
MODE OF APPLICATIONS
Prospective candidate are invited to submit the applications in their own handwriting together with the true copies of their certificates a fully typed CV with e-mail a reliable postal address and telephone numbers, copies of relevant certificate and address of  at least 2 professional referees to the following
MANAGING DIRECTOR,
KAHAMA SHINYANGA WATER SUPPLY AND SANITATIONS AUTHORITY,
P.O. BOX 1246,
SHINYANGA.
DEADLINE IS 21 DAYS AFTER APPEARANCE OF THE ADVERTISEMENT IN NEWS PAPER
SOURCCE Daily News December 27, 2016
Job Category
Engineering
Industry
Ngo, Community/Social Development /legal
Qualifications
Holder of a diploma in Civil /water supply engineering from a recognized technical college
Experience
4 years
Company Name
KAHAMA SHINYANGA WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY
Apply To
managing director
P O BOX
1246
CITY
Shinyanga
Country
Tanzania
Email
NONE
Deadline
AFTER 3 WEEKS

 Ad ID : 6059

Date added
2 days, 23 hours ago
Views
121

NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ALIKIBA MDA WOWOTE REYVAN#johnleo


Hakuna asiyejua kama kuna bifu ambalo sio la pole pole kati ya C.E.O wa WCB WasafiDiamond Platnumz na mtu mzimaAlikiba. Bifu ambalo limekaa kibiashara zaidi na hata ushindani katika game.
Waliwahi kusikika Baraka Da Prince ambaye anaonekana kuwa yupo karibu sana na msaniiAlikiba, na hata Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa damu wa msanii Alikiba na wakadai kuwa wao hawapo tayari kabisa kufanya collabo na wasanii wa WCB kutokana na kudai aina ya muziki ambao wanafanya ni tofauti na muziki wao.
Sasa leo Perfect255 imemkamata mkali kutoka WCB Wasafi hitmaker wa ngoma ya Natafuta Kiki Raymond (@rayvanny) na kupiga nae story imekaa vipi kwa yeye kufanya kazi na msanii ALikiba.
Raymond ametusanua kuwa yeye yuko tayari hata sasa hivi kufanya collabo na Alikibakwasababu ni msanii ambaye hana tatizo naye na hata wakikutana huwa wanasalimiana vizuri na kusifiana kwa kazi nzuri ambazo wanafanya.
“Mimi Alikiba nikikutana nae huwa napiga nae story, namsalimia, tunacheka, ananiambia mdogo wangu unafanya kazi nzuri. Hatujawahi kukaa sana kwa muda mrefu lakini ikitokea siku naweza kufanya nae,kwasababu end of the day wote tunafanya muziki na muziki ni biashara, mashabiki wanapenda kuona combination za watu tofauti tofauti, ikitokea nafanya nae.”
Hayo ni baadhi kati ya mengi ambayoRayvanny amefunguka, play hii video hapa chini ili kumsikiliza mwenyewe akifunguka.

Thursday, December 29, 2016

YALIYOMKUTA AOIKIBA KENYA YAMEMKUTA NA TREY SONG KWENYE SHOW YAKE YA DETRPIT#johnleo


Mzimu wa Mendez wa kuzima Mic za watu umedondokea pande za Detroit na kumsababishia Trey songz kufanya majanga stejini.
BigShow
Trey Songz yamemkuta mambo siyo stejini huko Detroit kwenye show ya Channel 955 & FM 98 WJLB’s Big Show at the Joe, baada ya kuzidisha muda wa kuperforme jukwaani na kusababisha kuzimiwa Mic, Sasa mambo yalianza wakati anajigamba pindi alipoambiwa kuwa atazimiwa Mic yake, kama akiendela kuzidisha muda, na mwisho wa siku Mic ikazimwa vurugu mechi ikaanza.
“Eti wanasema watazima Mic yangu! kisa nimetumia muda mwingi, nachotaka kuwafahimisha detroit, wa hapa mbele, mwisho huko, kushoto, kulia..kama ikitokea wakafanya,..nawapenda sana bila kujali chochote..kikubwa nachotaka kufanya ni kuwapa show bora….basi kama wakikata lazima niwaletee uchizi..Zimeni sasa! Zimeni Mic yenu..”Alisema Trey Songz.
Watu waliokuwepo kwenye tamasha hilo wamesema kwamba Trey Songz ameshikiliwa na polisi baada ya kufanya uharibifu huo, ambao umesababisha jeraha kwa shabiki baada ya kuwa anarusha vitu kwa mashabiki.

Wednesday, December 28, 2016

NYOKA AFA NA MMILIKI WAKE HUKO SONGEA#johnleo

Mkazi wa Mtaa wa Mateka, Manispaa ya Songea, Denis Komba (26) amefariki baada ya nyoka wake aliyekuwa amembeba kwenye mfuko wa jaketi kuuawa na wananchi.

Komba alifariki dunia katika hospitali ya Rufaa Songea mkoa wa Ruvuma (Homso) ambako alilazwa baada ya watu wenye hasira kumuua kwa mawe na fimbo nyoka wake huyo.

Mashuhuda wanaeleza kuwa kabla ya wananchi kumuua nyoka huyo, Komba aliwasihi wasifanye hivyo kwa kuwa wakimuua na yeye angekufa, lakini ombi lake hilo halikusikilizwa.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, siku ya tukio Komba alikodi pikipiki ya Kassian Haule (24) ambaye ni mkazi wa Mpitimbi, yenye namba za usajili MC 724 AKB ili apelekwe nyumbani kwake mtaa wa Mateka.

Akisimulia tukio hilo, alisema alipofika katika eneo la Benki ya Posta ya zamani barabara kuu ya Sokoine, dereva wa pikipiki alihisi kuna kitu kinamtekenya na kumgonga gonga kwa nyuma, ndipo alipogeuka nyuma na kumwona abiria wake amebeba nyoka mkubwa huku amesimamisha kichwa.

Haule alisema, baada ya kumuona nyoka huyo aliruka kutoka kwenye pikipiki na kuanguka pembeni mwa barabara na abiria wake alimwachia yule nyoka ambaye alikimbilia kwenye kalavati la maji.

Aliongeza kuwa ndipo alipopiga kelele za kuomba msaada na kundi la vijana waendesha pikipiki wenzake walifika eneo hilo la tukio kwa lengo la kumsaidia mwenzao juu ya maswahiba yaliyompata hadi kumfanya apige kelele.

Alisema kabla ya vijana hao hawajafanya jambo lolote, Komba aliwaomba vijana hao na watu wengine waliofika katika eneo hilo wasimpige nyoka wake kwani iwapo watampiga na kufa yeye pia atapoteza maisha. Kutokana na maneno hayo, Haule alimtoa nyoka huyo ndani ya kalavati na kwa kushirikiana na vijana wenzake walianza kumpiga nyoka huyo hadi kufa.

Alisema wakati wanampiga nyoka huyo, Komba ambaye ndiye mmiliki wa nyoka huyo naye alianza kulegea kisha akaanguka chini huku akitokwa na mapovu mdomoni na puani.

Habari zinasema kuwa,baada ya Komba kuanguka alikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu; hata hivyo juhudi za madaktari na wauguzi wa hospitali za kuokoa maisha yake zilishindikana kwani Komba alifariki.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Zuberi Mwombeji, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa mwili wa marehemu haukuwa na jeraha lolote na umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya rufaa Songea.

Alisema nyoka aliyeuawa na wananchi amechukuliwa na idara ya maliasili na uchunguzi zaidi ya tukio hilo unaendelea ili kubaini kiini cha tukio hilo la kuuawa kwa nyoka na kisha mmiliki wake naye kufa. Kamanda Mwombeji alisema, kwa upande wa dereva wa pikipiki yeye anaendelea vizuri na anapatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Ruvuma.

Aidha Kamanda Mwombeji, ametoa rai kwa wananchi kuacha mara moja kumiliki nyara za serikali zinazoweza kuwaletea madhara kama vile majeraha au vifo.

Source: Nyoka wa maajabu afa na mmiliki wake mkoani Songea | Bongo5.com

Tuesday, December 27, 2016

YOONG DEE ASAKWA NA POLICE KWA KUFUTA ACCOUNT YA INSTER YA TUNDA#johnleo

Share this
  • 63
    Shares

Tumepenyezewa za chini ya carpet kutoka kwenye shirika la wambea Duniani Shilawadu kumuhusu hitmaker wa ngoma ya FurahaYoung Dee kuwa yuko hatarini kuwekwa katika mikono ya jeshi la Polisi.
Sababu zinazosemekana kuwa ndio chanzo cha rapper huyo kutafutwa na polisi ni kinachosemekana kuwa amefuta account ya mtandao wa Instagram ya anayesemekana kuwa ni mpenzi wake, bibie Tunda.
Zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha maafisa wa polisi wakiwa nyumbani kwa rapper Young Dee na ndipo hapo mizozo ikaanza kuzuka na habari kusambaa kila kona.
Instagram photo by _MakorokochoMedia _Shilawadu_BO - JPG
Soudy Brown amepiga story na Young Deekwenye U-Heard ya leo December 27 na majibu yote yapo kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play ili kuusanukia ubuyu huo.

Saturday, December 24, 2016

SOMA HIKI KISA CHA MFALME NA MBWA WAKE UJIFUNZE#johnleo










👉Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea.

👉Mbwa hawa waliwatesa watumwa kwa kuwararua na meno yao makali! Wakati mwingine watumwa waliokutana na adhabu hii walipoteza uhai.

👉Siku moja mtumwa aliyemtumikia mfalme kwa miaka kumi alitoa wazo baya ambalo halikumpendeza mfalme, ikaamriwa akamatwe na kutupwa katika banda la mbwa.

👉Mtumwa alinung'unika na kusema :"nimekutumikia kwa miaka 10, na leo wanitenda hivi? Naomba unipe walau siku 10 kabla hujanitupa bandani! " Mfalme akakubali.

👉Katika siku hizo 10, mtumwa alimfuata mlinzi wa banda la mbwa na kumuomba ampe nafasi ya kuwahudumia mbwa wale. Mlinzi alistaajabu ila akakubali. Mara moja mtumwa akaanza kazi ya kuwapa mbwa chakula, kuwaogesha na kila aina ya faraja ambazo wanyama huhitaji.

👉Siku 10 zikaisha, mfalme akaamuru mtumwa atupwe bandani kutumikia adhabu yake.

👉Hilo likafanyika kwa haraka, lakini cha kushangaza mbwa walianza kulamba miguu ya mtumwa na si kumrarua kama ilivyotegemewa. Mfalme akastaajabu, akasema:"Nini kimewasibu mbwa wangu? ",.

👉Mtumwa akajibu :" nimewahudumia mbwa hawa kwa siku 10 tu na hawajasahau fadhila zangu.
Lakini kwa upande wako nimekutumikia miaka 10, hata hivyo umesahau yote kwa sababu ya kosa moja tu! " Kufikia hapo mfalme akatambua kosa lake na akaamuru mtumwa aachiwe huru.

👉Katika maisha kuna watu husahau mambo mema waliyotendewa a wengine pindi wakikosewa.

👉Kamwe usiruhusu historia nzuri kufutika sababu ya jambo moja usilolipenda! Tembea katika msamaha kila wakati.  ðŸ˜¢ðŸ˜¢ðŸ˜¢ðŸ˜ªðŸ˜ªðŸ˜ªðŸ˜ª Mungu Awabariki wote.
🌹IJUMAA MUBARAK🌹

Monday, December 19, 2016

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA WILAYA 2 NA MAKATIBU 3 POLEPOLE ATOLEWA UBUNGO#johnleo

JPM ateua wakuu wa wilaya na wakurugenzi

Monday , 19th Dec , 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugenzi 3 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Kisare M. Makori kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Bw. Kisare M. Makori anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Humphrey Polepole ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi.
Halikadhalika, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Avod Mmanda Herman kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara iliyopo katika Mkoa wa Mtwara.
Bw. Avod Mmanda Herman anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Khatib M. Kazungu ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Ramadhan Geodrey Mwangulumbi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga iliyopo Mkoani Shinyanga.
Bw. Ramadhan Geodrey Mwangulumbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Lewis Kalinjuna ambaye anastaafu kwa mujibu wa Sheria.
Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw Rojas John Romuli kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda iliyopo katika Mkoa wa Katavi.
Bw. Rojas John Romuli anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ngalinda Hawamu Ahmada aliyefariki dunia hivi karibuni.
Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Rashid K. Gembe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga iliyopo katika Mkoa wa Tanga.
Bw. Rashid K. Gembe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Mkumbo Emmanuel Barnabas ambaye uteuzi wake ulitenguliwa hivi karibuni.
Uteuzi wa huu unaanza mara moja na wateule wote wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mara wapatapo taarifa hii.

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA WILAYA 2 NA MAKATIBU 3 POLEPOLE ATOLEWA UBUNGO#johnleo

JPM ateua wakuu wa wilaya na wakurugenzi

Monday , 19th Dec , 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugenzi 3 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Kisare M. Makori kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Bw. Kisare M. Makori anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Humphrey Polepole ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi.
Halikadhalika, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Avod Mmanda Herman kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara iliyopo katika Mkoa wa Mtwara.
Bw. Avod Mmanda Herman anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Khatib M. Kazungu ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Ramadhan Geodrey Mwangulumbi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga iliyopo Mkoani Shinyanga.
Bw. Ramadhan Geodrey Mwangulumbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Lewis Kalinjuna ambaye anastaafu kwa mujibu wa Sheria.
Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw Rojas John Romuli kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda iliyopo katika Mkoa wa Katavi.
Bw. Rojas John Romuli anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ngalinda Hawamu Ahmada aliyefariki dunia hivi karibuni.
Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Rashid K. Gembe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga iliyopo katika Mkoa wa Tanga.
Bw. Rashid K. Gembe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Mkumbo Emmanuel Barnabas ambaye uteuzi wake ulitenguliwa hivi karibuni.
Uteuzi wa huu unaanza mara moja na wateule wote wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mara wapatapo taarifa hii.

Sunday, December 18, 2016

Saturday, December 17, 2016

MBUNGE SUGU ANUSULIKA KIFO MTOTO AFARIKI FUNGUA KWA TAARIGA ZAIDI#johnleo

Taarifa zilizoripotiwa na kituo cha runinga cha ITV leo December 17 2016 zinasema kuwa mbunge wa Mbeya mjini ‘CHADEMA’, Joseph Mbilinyi amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Iyunga jijini Mbeya baada ya gari lake kufeli break na kumgonga mtoto  ’15’ ambaye amefariki wakati akipelekwa hospitali.
Aidha taarifa hiyo inaeleza kuwa askari polisi wanne wamejeruhiwa baada ya kupata ajali wakati wakielekea kwenye ajali hiyo aliyopata mbunge Joseph Mbilinyi  ‘sugu’.

DR MWELE ALIYETUMBULIWA SAFARI ITASONGA KWA NGUVU ZA MUNGU#johnleo


Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, NIMR, Dr Mwele Malechela, ametoa kauli yake baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Dkt John Magufuli, Ijumaa hii.

Kutenguliwa kwake kumekuja siku moja tu baada ya kuzungumza na waandishi na kudai kuwepo kwa virusi vya Zika nchini. Alisema kati ya watu 533 waliopimwa wakati wa utafiti walioufanya, asilimia 15.6 waligunduliwa kuwa na virusi hivyo. Taarifa yake, ilikuja kukanushwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

Akijibu tweet iliyosema, ” Pole sana @mwelentuli safari yako na isonge mbele Dada,” Dr Mwele amesema,“Ahsante na itasonga kwa msaada wa Mungu.”

Tweet nyingine alijibu: Ahsante Mathew. Nilipewa dhamana nimetumikia ninamshukuru Mungu kwa nafasi ya kutumikia WaTanzania kupitia utafiti.”

Friday, December 16, 2016

WAZIRI WA KIKWETE AMKOSOA MAGUFULI#johnleo

Waziri wa Kikwete amkosoa Rais Magufuli

MAKONGORO Mahanga, amesema sera ya kodi, fedha, uchumi na uwekezaji katika serikali ya awamu ya tano zina walakini mkubwa na kwamba ndiyo chanzo cha hali mbaya ya kiuchumi hapa nchini ikiwemo kuadimika kwa fedha mikono mwa wananchi, anaandika Pendo Omary.


Dk. Mahanga alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira katika serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (2005-2015), kabla ya kuhamia Chadema mwaka Agosti mwaka huu.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo, Mahanga ambaye ni mtaalamu wa mambo ya fedha na uchumi amesema ukusanyaji wa kodi ni jambo jema, ila lazima lifanywe kwa kujali maslahi ya wawekezaji na wafanyabiashara ambao ndiyo walipa kodi na waajiri.

“Serikali inaangalia zaidi kukusanya mapato yake bila kujali sana mazingira wezeshi ya wafanyabiashara na wawekezaji ambao ndio walipa kodi. Kwa kifupi sera na taratibu za kodi na ukusanyaji wake unaua sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo,” amesema Dk. Mahanga.

Ameongeza kuwa “hata uamuzi wa Serikali kuzuia sekta binafsi kufanya biashara na Serikali ni uamuzi mbaya sana. Utaua sekta binafsi na kupoteza ajira nyingi sana za watanzania kwani Sekta binafsi wanaponyimwa kabisa fursa za kupata kandarasi za serikali, watakosa biashara, sasa kodi ya kutosha watalipaje?”

Dk. Mahanga amesema kwa maoni yake sera ya kodi, fedha, uchumi na uwekezaji zina walakini mkubwa na maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia utashi wa kitaalamu ndiyo umeifikisha nchi katika hali mbaya ya uchumi na mzunguko wa fedha kwa wananchi kuwa mdogo.

Pia ameonya kuwa, maamuzi ya baadhi ya matumizi ya serikali kufanyiwa Ikulu badala ya bungeni ni kuvunja Katiba na misingi ya utawala bora.

“Ununuzi wa ndege ili kufufua shirika la ndege hapa nchini ni mzuri lakini hazikupaswa kununuliwa ndege nyingi mfululizo na bila kufuata vipaumbele vya maendeleo ya nchi,” amesema.