Saturday, December 10, 2016

DARASA AWEKA LEKODI HI TENA#johnleo

Uamuzi wa kubadilisha muziki wake, umeendelea kumzalia matunda matamu rapper Darassa. Akiwa na wimbo ambao hakuna anayeweza kubisha kuwa ndio namba moja nchini kwa sasa, Muziki, mkali huyo kajiandikia rekodi yake nyingine katika CV yake.
15258549_384000338611249_968467244952584192_n
Video ya wimbo wake huo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya wiki mbili tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube. Ni nadra sana kwa msanii anayerap kufikisha idadi hiyo ya views katika kipindi hicho.
Wimbo huo kwa muda mfupi umemfanya Darassa awe miongoni mwa wasanii wanaotafutwa sana kwa show wakati huu.1

0 maoni:

Post a Comment