Tuesday, January 10, 2017

VEDEO | MANENO YA HAMONIZE BAADA YA KUACHANA NA WOLPER

Kumekua na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuachana kwa Jackline Wolper na Harmonize na hii ni baada ya Jackline Wolper kumpost Harmonize kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yaliyoashiria kuwa wawili hao hawawezi kuendelea na mahusiano yao.
wolper2
Post ya Wolper juu ya kusitisha mahusiano yake na Harmonize
AyoTV na Millardayo.com imempata Harmonize kwenye Exclusive Interview ili aweze kuongelea ishu hii na  yeye amesema..
>>>’Mimi sijui, naona tu vitu vinavyoendelea ila mimi sijampost wala sijaongelea chochote popote pale so naona ni mageni kwangu mimi nadhani ni kitu kizuri kama mkimtafuta mwenyewe muhusika na kumuuliza mimi ukiniuliza unanionea’ –Harmonize

0 maoni:

Post a Comment