Tuesday, January 3, 2017

MAMA MMOJA AMEKAMATWA KA KUMTOLOSHA MKIMBIZI KWA KUMUWEKA KWENYE BEGI LAKE#johnleo

Mwanamke mmoja anashikiliwa kwa kosa la kumbeba ktk begi la nguo kijana(19) raia wa Gabon, kwa lengo la kumuingiza nchini Hispania.

Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi inasema kuwa kijana huyo alikimbizwa Hospitali kupatiwa matibabu baada ya kukaa muda mrefu katika begi hilo.

========

170103101040-african-migrant-smuggled-in-suitcase-split-0103-exlarge-169.jpg

0 maoni:

Post a Comment