Monday, January 16, 2017

Home ENTERTAINMENT U-HEARD-: VANESSA MDEE KWENYE BIFU ZITO NA WCB WASAFI! KISA WIMBO WA KIJUSO! By Mussa Saliboko - 16 January 2017, 4:54 pm Share this 0 Shares Tumezinyaka za chini ya carpet kuiihusu ngoma ya Kijuso, ngoma ambayo inafanya poa sana kitaani kwasasa inayomilikiwa na vijana wa lebo ya WCB Wasafi Queen Darleen pamoja na Rayvanny. Inasemekana ngoma hiyo ilikuwa imekwisha fanywa na Rayvanny pamoja na Vanessa Mdee kabla ya Queen Darleen kuifanya ngoma hiyo. Soudy Brown amepiga story na Queen Darleen pamoja na Rayvanny kuhusiana na mchongo huo. Unataka kukijua ambacho wamekijibu juu ya tuhuma hizo? Ubuyu wote nimeukusanya hapa kwenye hii video. Play uweze kuenjoy nao.#johnleo



    U-HEARD-: VANESSA MDEE KWENYE BIFU ZITO NA WCB WASAFI! KISA WIMBO WA KIJUSO!


    Tumezinyaka za chini ya carpet kuiihusu ngoma ya Kijuso, ngoma ambayo inafanya poa sana kitaani kwasasa inayomilikiwa na vijana wa lebo ya WCB Wasafi Queen Darleenpamoja na Rayvanny.
    Inasemekana ngoma hiyo ilikuwa imekwisha fanywa na Rayvanny pamoja na Vanessa Mdee kabla ya Queen Darleen kuifanya ngoma hiyo.
    Soudy Brown amepiga story na Queen Darleen pamoja na Rayvanny kuhusiana na mchongo huo. Unataka kukijua ambacho wamekijibu juu ya tuhuma hizo? Ubuyu wote nimeukusanya hapa kwenye hii video. Play uweze kuenjoy nao.

    0 maoni:

    Post a Comment