Thursday, January 19, 2017

IRRIGATION PLANNING ACTIVITIES(IPA) TUNAFUNGA DRIP NA SURFACE IRRIGATION KWA BEI NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI NA PICHA FATILIA#johnleo






Irrigation Planning Activities(IPA), ni mladi unaojitegemea umeanzishwa kwa malengo makuu matatu 1.kufanya installation za drip na surface irrigation 2.kufundisha elimu kuhusu umwagiliaji hasa drip na surface irrigation na 3.kufanya kilimo kwa njia ya drip na surface irrigation. Nina na mazumuni ni kuinua uchumi Wa vijana kwa kujiajili Wengenyewe.tunaomba selikali na watu binafisi wenye malengo na matumaini mema watusaidie kwa kutufazili ili tuweze kupata vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukamilisha mladi huu.

Irrigation ni kazi zetu tulizosomea tunazifahamu na kuzitambua kwa ufasaha kwa yeyote aliyeguswa na hili apige namba hizi 0713510705 tupo na whatsap

0 maoni:

Post a Comment