Monday, January 9, 2017

HIZI NI SIFA ZA VYUO KWA WANAFUNZI WAKE#johnleo

SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.

1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.

2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.

3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.

4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.

5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM

6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.

7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.

8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.

9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.

10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.

11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.

12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo,  wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.

13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.

14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.

15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.

16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.

17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.

18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.

19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.

20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.

21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.

22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.







KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.


By

Cpy & past

0 maoni:

Post a Comment