Tuesday, January 31, 2017

ALICHOKIONGEA MWANAFUNZI ALIYEONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016#johnleo

Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2016 Tanzania yametangazwa leo January 31 2017 na baraza la mitihaniNECTA ambapo Mwanafunzi wa kwanza kufaulu zaidi kitaifa ametokea kwenye shule ya Feza Dar es salaam na anaitwaAlfred Shauri, tazama hii video hapa chini uone alivyoongea na kupokelewa shuleni kwao.

Friday, January 27, 2017

KILIMO BORA CHA NYANYA NA AINA YA MADAWA KWA KUUWA WADUDU NA MAGONJWA#johnleo

KILIMO BORA CHA NYANYA- MAGONJWA NA WADUDU




UTANGULIZI
NYANYA NI ZAO LA CHAKULA NA BIASHARA. KILIMO CHA ZAO HILI HUFANYIKA MAJIRA YOTE
(MASIKA NA KIANGAZI), NA FAIDA HUPATIKANA HARAKA NA NI YA KURIDHISHA IKILINGANISHWA
NA MAZAO MENGINE. PAMOJA NA UMUHIMU WA ZAO HILI, WADUDU WAHARIBIFU NA
MAGONJWA HUATHIRI UZALISHAJI NA UBORA WA MATUNDA. ILI MKULIMA AWEZE KUPATA FAIDA
NA KUONGEZA PATO LA KAYA YAKE NI VEMA KUZINGATIA UDHIBITI WA MAGONJWA NA WADUDU
WA ZAO HILI. KIPEPERUSHI HIKI KINATOA MAELEZO YA UDHIBITI WA MAGONJWA NA WADUDU
MUHIMU YA ZAO LA NYANYA.

MAGONJWA YA NYANYA
BAKAJANI CHELEWA (LATE BLIGHT)
UGONJWA HUU HUENENZWA NA VIMELEA VYA FANGASI. HUSABABISHWA NA HALI YA HEWA HASA
YA UNYEVUNYEVU, NA HUENEZWA NA UPEPO. MAJANI, SHINA, MATUNDA HUSHAMBULIWA.
MAJANI HUWA NA UKUNGU MWEUPE NA KIJIVU, NA BAADAYE HUKAUKA. MATUNDA HUWA NA
MABAKA YA KIKAHAWIA NA BAADAYE KUOZA. MASHINA PIA HUWA NA MABAKA YA KIKAHAWIA.

UDHIBITI

· NYUNYIZA DAWA YA KUZUIA UKUNGU HASA WAKATI WA MASIKA, DAWA
ZINAZOPENDEKEZWA NI RIDOMIL, DITHANE 45, BRAVO, FUNGURAN, MILRAZ.
· FANYA MZUNGUKO WA MAZAO. USIPANDE NYANYA SEHEMU MOJA KILA MSIMU AU
PALIPOLIMWA MAZAO JAMII YA NYANYA KM VIAZI MVIRINGO, BILINGANYA, AINA ZOTE
ZA PILIPILI NA NYANYA CHUNGU.
· TUMIA MBEGU SAFI
· PANDA AINA ZA NYANYA ZINAZOVUMILIA UGOMJWA
BAKAJANI TANGULIA (EARLY BLIGHT)
HUENEZWA NA VIMELEA VYA FANGASI. HUSABABISHWA NA KUENEZWA NA HALI YA HEWA
PAMOJA NA MBEGU ZENYE UGONJWA. MABAKA YA KAHAWIA YENYE MISTARI YA MVIRINGO
HUONEKANA KWENYE MAJANI NA SHINA. BAKA JEUSI HUTOKEA SEHEMU YA TUNDA
INAYOSHIKANA NA KIKONYO.

UDHIBITI
· NYUNYIZA DAWA YA KOCIDE, FUNGURAN
· TEKETEZA MABAKA YA MAZAO BAADA YA KUVUNA
· TUMIA MBEGU SAFI NA BORA
MNYAUKO FUSARI (FUSARIUM WILT)
HUENEZWA NA MBEGU ZENYE UGONJWA. HUSAMBAZWA NA VIMELEA VYA FUNGASI
VINAVYOISHI KWENYE UDONGO.
UGONJWA HUJITOKEZA ZAIDI WAKATI WA KIANGAZI. VIMELEA HUSHAMBULIA SEHEMU AU
MIRIJA YA MMEA YA KUPITISHIA MAJI NA CHAKULA. MMEA HUKOSA MAJI NA CHAKULA NA
HATIMAYE HUNYAUKA. SHINA LA MMEA LIKIPASULIWA NDANI HUONEKANA RANGI YA KIKAHAWIA.

UDHIBITI
· TUMIA MBEGU SAFI NA BORA
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO. NYANYA ZISIZUNGUSHWE NA MAZAO JAMII YAKE
· TEKETEZA MASALIA YA MIMEA
WWW.ARIUYOLE.GO.TZ
· CHOMA KITALU CHA NYANYA KABLA YA KUSIA MBEGU
MNYAUKO BACTERIA (BACTERIAL WILT)
UGONJWA HUSABABISHWA NA VIMELEA VYA BACTERIA VINAVYOISHI KWENYE UDONGO.
HUENEZWA NA KUSAMBAZWA NA MBEGU NA UDONGO WENYE VIMELEA. MIRIJA YA MIMEA YA
KUPITISHIA MAJI NA CHAKULA HUSHAMBULIA NA MIMEA HUNYAUKA GHAFLA. MMEA HUKAUKA
NA KUFA.

UDHIBITI
· PANDA MBEGU SAFI
· PANDA NYANYA SEHEMU AMBAYO HAIJAWAHI KUPANDWA VIAZI MVIRINGO,
BILINGANYA AU NYANYA CHUNGU
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO
· HAKIKISHA MFEREJI WA MAJI YA KUMWAGILIA HAYAPITI KWENYE SHAMBA LENYE
HISTORIA YA UGONJWA HUU.
· CHOMA KITALU CHA NYANYA KABLA YA KUSIA MBEGU
MNYAUKO VETISILI (VERTICILLUM WILT)
HAKUNA DAWA INAYOZUIA AU KUTIBU UGONJWA HUU KWA SASA. UGONJWA HUSABABISHWA NA
UKUNGU (FANGASI) KWENYE UDONGO. UKUNGU HUU HUISHI KWENYE UDONGO KWA MUDA
MREFU BILA KUDHURIKA. UGONJWA HUONGEZEKA IKIWA MIZIMIZI YA NYANYA
IMESHAMBULIWA NA MINYO FUNDO; AU KUKIWEPO NA HALI YA UBARIDI AU UKAME. UGONJWA
HUSABABISHA HASARA KUBWA. UGONJWA HUSHAMBULIA SEHEMU YA NDANI YA SHINA NA
KUSABABISHA SEHEMU HIYO KUWA NA RANGI YA KIJIVU. MAJANI HUGEUKA NJANO NA MIMEA
KUNYAUKA NA KUFA.

UDHIBITI
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO USIOPUNGUA MIAKA MINE
· ONDOA MABAKI YA NYANYA SHAMBANI
· TUMIA MBEGU BORA NA SAFI
BAKADOA (BACTERIAL SPOT)
UGONJWA HUU HUENEZWA NA VIMELEA VYA BACTERIA VINAVYOISHI KWENYE MBEGU, PIA
KWENYE HEWA. HUENEZWA KWA KASI SANA WAKATI WA MASIKA. MADOA YA RANGI KAHAWIA
HUONEKANA KWENYE MAJANI NA MATUNDA.

UDHIBITI
· PANDA MBEGU BORA NA SAFI
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO
· TEKETEZA MASALIA YA MAZAO
· NYUNYIZIA DAWA YA FUNGURAN, KOCIDE101, COBOX, BRAVO
MAKOVU BAKTERIA (BACTERIAL CANKER)
UGONJWA HUENEZWA NA VIMELEA VYA BACTERIA VINAVYOISHI KWENYE MBEGU NA HEWANI.
HUTOKEA ZAIDI WAKATI WA MASIKA. MAJANI HUKAUKA NCHANI NA MAKOVU YALIYODIDIMIA
HUTOKEA KWENYE SHINA. MATUNDA HUWA NA MAKOVU YENYE RANGI YA KAHAWIA SEHEMU YA
KATIKATI.

UDHIBITI
· TUMIA MBEGU BORA NA SAFI
WWW.ARIUYOLE.GO.TZ 2
· TEKETEZA MASALIA YA MAZAO
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO
RASTA (YELLOW LEAF CURL)
UGONJWA HUU HUSABABISHWA NA VIRUSI NA HUENEZWA NA NZI WADOGO WEUPE. HUTOKEA
ZAIDI WAKATI WA KIANGAZI. MIMEA HUDUMAA NA MAJANI YALIYOSHAMBULIWA HUWA NA
RANGI YA MANJANO NA PENGINE RANGI YA ZAMBARAU. NYANYA HUPASUKA.

UDHIBITI
· NYUNYIZA DAWA ZA SUMU ZA KUUA WADUDU (SELECRON, DURSBURN, ACTELIC)
· NG’OA MIMEA YENYE UGONJWA
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO
· WEKA SHAMBA KATIKA HALI YA USAFI
BATOBATO (TOMATO MOSAIC VIRUS)
UGONJWA HUSABABISHWA NA VIRUSI NA HUEEZWA NA MBEGU NA KUGUSANA. MAJANI HUWA NA
MCHANGANYIKO WA RANGI HASA KIJANI KIBICHI NA KIJANI KILICHOFIFIA (MAJANO). MAJANI
HUJIKUNJA NA MANJANI MACHANGA HUWA NA MAUMBILE YASIYO KAWAIDA. UKIFIKISHA JANI
HUWA LINAVINJIKAVUNJIKA.

UDHIBITI
· TUMIA MBEGU BORA NA SAFI
· NG’OA MIMEA ILIYOSHAMBULIWA
· TEKETEZA MASALIA YA MAZAO
· WEKA SHAMBA KATIKA HALI YA USAFI



WADUDU WAHARIBIFU
VIWAVI MATUNDA (FRUIT WORM)
VIWAVI HAWA HUTOKANA NA WADUDU NONDO. VIWAVI HUTOBOA MATUNDA NA KUACHA
MATUNDU NA HATIMAYE MATUNDA HUOZA. HUPUNGUZA UBORA WA MATUNDA.

UDHIBITI
NYUNYIZIA DAWA YA KUUA WADUDU. DAWA HIZO NI PAMOJA NA ACTELIC 50EC, SELECTRON,
DURSBAAN, MAJI YA MAJANI YA MWAROBAINI AU UTUPA PIA HUUA WADUDU.
UTITIRI WEKUNDU (RED SPIDER MITES)
HAWA NI WADUDU WEKUNDU, WADOGO SANA WANAOWEKA UTANDO CHINI YA MAJANI, HASA
WAKATI WA KIANGAZI. WADUDU HAWA HUFYONZA UTOMVU KWENYE MAJANI NA KUSABABISHA
MAJANI KUKAUKA.

UDHIBITI
· NYUNYIZIA DAWA ZA SUMU. DAWA HIZO NI PAMOJA NA ACTELLIC, SELECRON,
DURSBARN NA THIONEX
· MWAGILIA MAJI MARA KWA MARA
· WEKA SHAMBA KATIKA HALI YA USAFI
WWW.ARIUYOLE.GO.TZ 3
INZI WEUPE (WHITE FLIES)
HAWA NI INZI WEUPE WADOGO SANA. HUJITOKEZA SANA WAKATI WA KIANGAZI. HUENEZA
UGONJWA WA VIRUSI UJULIKANAO KAMA RASTA.

UDHIBITI
NYUNYIZIA DAWA ZA SUMU ZA KUULIA WADUDU KAMA SELECRON, ACTELLIC, DURSBAN NA
THIONEX. PIA MAJI YA MAJANI YA MWAROBAINI NA UTUPA.
VIDUKARI AU WADUDU MAFUTA (APHIDS)
NI WADUDU WENYE RANGI NYEUSI AU KUIJANI AU KAHAWIA. HUKAA CHINI YA MAJANI NA
KUFYONZA UTOMVU KWENYE MAJANI MACHANGA. HUDUMAZA MMEA NA KUSHINDWA KUZAA
MATUNDA

UDHIBITI
NYUNYIZIA DAWA ZA SUMU ZA KUULIA WADUDU KAMA ROGOR, ACTELLIC, SELECRON, DURSBAN
MAJI YA MAJANI YA MWAROBAINI NA UTUPA, MAJI YA PILIPILI.
MINYOO (NEMATODES)
NI MINYOO MIDOGOMIDOGO AMBAYO HUSHAMBULIA MIZIZI NA KUWEKA VIFUNDO. MIZIZI
HUSHINDWA KUCHUKUA MAJI NA CHAKULA KWENYE UDONGO. MIMEA HUDUMAA NA
KUSHINDWA KUZAA

UDHIBITI
· TUMIA MZUNGUKO WA MAZAO
· CHOMA UDONGO WA KITALU KABLA YA KUSIA MBEGU KWA KUTUMIA KARATASI LA
PLASTIKI JEUSI NA NISHATI YA JUA
· CHOMA MASALIA YA MAZAO
SOTA (CUTWORMS)
HUSHAMBULIA MICHE YA NYANYA HASA BAADA YA KUPANDIKIZWA SHAMBANI. WAKATI WA
MCHANA HUJIFICHA KWENYE UDONGO NA USIKU HUJITOKEZA NA KUKATA MICHE KWENYE SHINA
USAWA WA UDONGO.

UDHIBITI
· NYUNYIZA DAWA ZA KUUA WADUDU KWENYE SHINA USAWA WA UDONGO
· HAKIKISHA MICHE INAPATA MAJI YA KUTOSHA.

Sunday, January 22, 2017

JIFUNZE KILIMO CHA VITUNGUU NA MBEGU BORA#johnleo


Thursday, July 30, 2015

Jifunze Kilimo Bora cha Vitunguu

Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu kila siku katika mlo wa familia za kitanzania. Afrika Mashariki, na Dunia Nzima. 
Vitunguu vina chukua nafasi kubwa katika matumizi ya mboga hasa kwa wakazi wa mijini. Vitunguu hutumika katika kutengeneza kachumbari, kiungo cha mboga, nyama na samaki. Majani ya kitunguu hutumika kama mboga. Vitunguu pia hutumika kutengeneza supu n.k

Aina Za kilimo Cha Vitunguu
Kilimo cha vitunguu kinaweza kufanyika kwa aina mbili
  •   Green House
  •  Shambani 

Kilimo cha kitunguu Green House

Kilimo cha vitunguu katika shamba la kawaida.

Mahitaji muhimu katika kuzalisha zao la vitunguu
Zao la vitunguu hustawi vizuri kwenye maeneo yasiyo na mvua nyingi sana, yenye baridi kiasi wakati wa kiangazi na yasiyo na joto kali pamoja na ufukuto wa ukungu wakati wa kukomaa vitunguu.
Zao la vitunguu hustawi vizuri kwenye udongo wenye rutuba ya kutosha. Udongo unao ruhusu mizizi kupenya kirahisi, unao hifadhi unyevu kama vile udongo wa mfinyanzi tifutifu.
Kutayarisha shamba
Shamba litayarishwe sehemu usiyokuwa na mwinuko, sehemu ya wazi ambayo haijalimwa
vitunguu kwa muda wa miaka 2 -3. Shamba liwe karibu na chanzo cha maji kwa ajili ya
umwagiliaji. Matuta 1m x 3m au majaruba ya 2mx 3m.yanafaa kwa kupanda miche. Matatu au
majaruba yanarahisisha umwagiliaji, palizi na unyunyiziaji wa dawa.
Upandaji wa mbegu za vitunguu
Mbegu zinaweza kupandwa kwa mstari au kwa kutawanya katika tuta la kitalu. Katika upandaji wa mstari, mbegu hupandwa katika nafasi ya cm 10 hadi 15 kati ya mstari na mstari. Baada ya kupanda, mbegu hufunikwa kwa udongo na baadaye kwa kuweka matandazo juu ya tuta. Mara baada ya mbegu kuota, matandazo yaondolewe na badala yake kichanja cha nyasi kijengwe ili kuiwekea kivuli mimea michanga. Mbegu huota baada ya siku 7 hadi 10.
Matunzo ya bustani ya vitunguu
  • Umwagiliaji

 Zao la vitunguu linahitaji maji ya kutosha katika kipindi chote cha ukuaji wa mmea na hasa wakati wa kutunga tunguu. Katika kipindi kisicho na mvua (mwezi mei hadi Agosti) Umwagiliaji ufanyike mara moja kwa wiki kwa udongo wa mfinyanzi tifutifu na vitunguu vilivyopandwa katika vijaruba. Ili kuharakisha kukomaa kwa vitunguu unashauriwa kupunguza kiasi cha maji ya kumwagilia taratibu kadri zao linavyo kua. 
Pia ni vizuri uache kumwagilia maji mapema wiki nne hadi sita kabla ya kuvuna. Kwani muda kamili wa kukomaa na kuvuna kwa vitunguu ni siku 90 hadi 150 kutegemea na aina ya mbegu. Kuthibiti magugu na kupandishia udongo Kitunguu ni zao lisilo weza kushindana na magugu. Magugu husababisha kupungua kwa ukubwa wa kitunguu, hueneza magonjwa na husababisha kudumaa kwa vitunguu. Katika bustani ya vitunguu, magugu yanaweza kutolewa kwa njia ya kutifulia kwa jembe dogo, kung'olea kwa mkono na pia kwa kutumia madawa ya kuua magugu.
Kama unaondoa magugu kwa kutifulia, epuka kutifua kwa kina kirefu ili kutoharibu mizizi na vitunguu vyenyewe, kwani mizizi ya vitunguu ipo juu juu sana. Kupandishia udongo kwenye mashina ya vitunguu ni hatua muhimu ili vitunguu visiunguzwe na jua. Hakikisha kuwa mashina ya vitunguu vyako ndani ya udongo kama sentimita 5. Pia kuna aina ya vitunguu ambavyo hutoa au hupandisha tunguu lake juu ya udongo wakati vinapokua. Hivyo kupandishia udongo ili kufunika tunguu ni muhimu sana.
Hali ya hewa na maji
Hali ya hewa na maji ni vipengele muhimu sana vya kuzingatia katika uzalishaji wa vitunguu.
Vitunguu vinastawi vizuri katika hali ya ukavu kwa kutumia umwagiliaji. Maji mengi hasa
wakati wa masika inasababisha magonjwa mengi hasa ukungu, vitunguu haviwezi kukomaa
vizuri, hivyo kusababisha upotevu mkubwa wa mazao. Jua na hewa kavu ni muhimu sana wakati
wa kukomaa na kuvuna vitunguu.
Aina za vitunguu
Aina bora za vitunguu ni pamoja na Mang’ola red, Red creole na Bombay Red. Hizi ni mbegu bora ambazo zinatoa mazao mengi kuanzia 40-60kgs kwa hekta. ikiwa kilimo bora kitazingatiwa. Mkulima anaweza kuchagua mbegu kwa kuzingatia:-
  • Mahitaji ya soko (vitunguu vyekundu hupendwa zaidi)
  • Msimu wa kupanda
  • Uwezo wa kuzaa mazao mengi
  • Uwezo wa vitunguu kuhifadhiwa kwa muda mrefu.
Mbegu bora

Ubora wa mbegu ni muhimu sana, kwani ndiyo chanzo cha mazao bora. Mbegu bora inatoa miche yenye afya na kuzaa mazao mengi na bora. Mbegu za vitunguu inapoteza uoto wake upesi baada ya kuvunwa (mwaka1). Mbegu nzuri zina sifa zifuatazo:-


  • Uotaji zaidi ya 80%
  • Mbegu safi zisiyo na mchanganyhiko
  • Zimefungwa vizuri kwenye vyombo visivyopitisha hewa na unyevu.
Hivyo mkulima anaponunua mbegu za vitunguu azingatie yafuatayo:
  • Chanzo cha mbegu
  • Tarehe ya uzalishaji
  • Tarehe ya kuisha muda wa
  •  Kifungashio cha mbegu.
Inashauriwa mkulima asipande mbegu zenye umri zaidi ya mwaka mmoja
Mbegu bora za vitunguu zinauzwa na makampuni binafsi kama: 
  •  ALPHA Seed Co, Popvriend,
  • · Rotian Seed, 
  • ·  Kibo Seed, 
  • ·   East African Seed Company nk. 

 Wasambazaji wa mbegu ni pamoja na maduka ya TFA, na maduka ya pembejeo za kilimo katika maduka mbalimbali.
Nikutakie siku njema na kilimo bora, katika makala ijayo tutaangalia magonjwa yanashambulia vitunguu na jinsi ya kuweza kuyazuia.

Friday, January 20, 2017

JIFUNZE NINI MAANA YA UMWAGILIAJI NA AINA ZAKE KWA UNDANI ZAIDI#johnleo


Irrigation

This article is about irrigation in agriculture. For other uses, see Irrigation (disambiguation).

An irrigation sprinkler watering a lawn

Irrigation canal in OsmaniyeTurkey
Irrigation is the method in which a controlled amount of water is supplied to plants at regular intervals for agriculture. It is used to assist in the growing of agricultural crops, maintenance of landscapes, andrevegetation of disturbed soils in dry areas and during periods of inadequate rainfall. Additionally, irrigation also has a few other uses in crop production, which include protecting plants against frost,[1]suppressing weed growth in grain fields[2] and preventing soil consolidation.[3] In contrast, agriculturethat relies only on direct rainfall is referred to as rain-fed or dry land farming.
Irrigation systems are also used for dust suppression, disposal of sewage, and inmining. Irrigation is often studied together with drainage, which is the natural or artificial removal of surface and sub-surface water from a given area.
Irrigation has been a central feature of agriculture for over 5,000 years and is the product of many cultures. Historically, it was the basis for economies and societies across the globe, from Asia to the Southwestern United States.

HistoryEdit


Animal-powered irrigation, Upper Egypt, ca. 1846

Inside a karez tunnel at Turpan, Sinkiang
Archaeological investigation has found evidence of irrigation where the naturalrainfall was insufficient to support crops for rainfed agriculture.
Perennial irrigation was practiced in theMesopotamian plain whereby crops were regularly watered throughout thegrowing season by coaxing water through a matrix of small channels formed in the field.[4]

irrigation in Tamil Nadu ( India )
Ancient Egyptians practiced Basin irrigation using the flooding of the Nileto inundate land plots which had been surrounded by dykes. The flood water was held until the fertile sediment had settled before the surplus was returned to the watercourse.[5] There is evidence of the ancient Egyptian pharaohAmenemhet III in the twelfth dynasty(about 1800 BCE) using the natural lake of the Faiyum Oasis as a reservoir to store surpluses of water for use during the dry seasons, the lake swelled annually from flooding of the Nile.[6]
The Ancient Nubians developed a form of irrigation by using a waterwheel-like device called a sakia. Irrigation began in Nubia some time between the third and second millennium BCE.[7] It largely depended upon the flood waters that would flow through the Nile River and other rivers in what is now the Sudan.[8]
In sub-Saharan Africa irrigation reached the Niger River region cultures and civilizations by the first or second millennium BCE and was based on wet season flooding and water harvesting.[9][10]
Terrace irrigation is evidenced in pre-Columbian America, early Syria, India, and China.[5] In the Zana Valley of theAndes Mountains in Peru, archaeologists found remains of three irrigation canals radiocarbon dated from the 4th millennium BCE, the 3rd millennium BCE and the 9th century CE. These canals are the earliest record of irrigation in the New World. Traces of a canal possibly dating from the 5th millennium BCE were found under the 4th millennium canal.[11] Sophisticated irrigation and storage systems were developed by the Indus Valley Civilization in present-day Pakistan andNorth India, including the reservoirs atGirnar in 3000 BCE and an early canal irrigation system from circa 2600 BCE.[12][13] Large scale agriculture was practiced and an extensive network of canals was used for the purpose of irrigation.
Ancient Persia (modern day Iran) as far back as the 6th millennium BCE, where barley was grown in areas where the natural rainfall was insufficient to support such a crop.[14] The Qanats, developed in ancient Persia in about 800 BCE, are among the oldest known irrigation methods still in use today. They are now found in Asia, the Middle East and North Africa. The system comprises a network of vertical wells and gently sloping tunnels driven into the sides of cliffs and steep hills to tap groundwater.[15] The noria, a water wheel with clay pots around the rim powered by the flow of the stream (or by animals where the water source was still), was first brought into use at about this time, by Roman settlers in North Africa. By 150 BCE the pots were fitted with valves to allow smoother filling as they were forced into the water.[16]
The irrigation works of ancient Sri Lanka, the earliest dating from about 300 BCE, in the reign of KingPandukabhaya and under continuous development for the next thousand years, were one of the most complex irrigation systems of the ancient world. In addition to underground canals, theSinhalese were the first to build completely artificial reservoirs to store water. Due to their engineering superiority in this sector, they were often called 'masters of irrigation'.[by whom?]Most of these irrigation systems still exist undamaged up to now, inAnuradhapura and Polonnaruwa, because of the advanced and precise engineering. The system was extensively restored and further extended during the reign of KingParakrama Bahu (1153–1186 CE).[17]

ChinaEdit

The oldest known hydraulic engineers ofChina were Sunshu Ao (6th century BCE) of the Spring and Autumn period andXimen Bao (5th century BCE) of theWarring States period, both of whom worked on large irrigation projects. In the Sichuan region belonging to theState of Qin of ancient China, theDujiangyan Irrigation System was built in 256 BCE to irrigate an enormous area of farmland that today still supplies water.[18] By the 2nd century AD, during the Han Dynasty, the Chinese also usedchain pumps that lifted water from lower elevation to higher elevation.[19]These were powered by manual foot pedal, hydraulic waterwheels, or rotating mechanical wheels pulled by oxen.[20]The water was used for public works of providing water for urban residential quarters and palace gardens, but mostly for irrigation of farmland canals and channels in the fields.[21]

KoreaEdit

In 15th century Korea, the world's first rain gauge, uryanggye (Korean:우량계), was invented in 1441. The inventor wasJang Yeong-sil, a Korean engineer of theJoseon Dynasty, under the active direction of the king, Sejong the Great. It was installed in irrigation tanks as part of a nationwide system to measure and collect rainfall for agricultural applications. With this instrument, planners and farmers could make better use of the information gathered in the survey.[22]

North AmericaEdit

Main article: Hohokam
In North America, the Hohokam were the only culture known to rely on irrigation canals to water their crops, and their irrigation systems supported the largest population in the Southwest by AD 1300. The Hohokam constructed an assortment of simple canals combined with weirs in their various agricultural pursuits. Between the 7th and 14th centuries, they also built and maintained extensive irrigation networks along the lower Salt and middle Gila rivers that rivaled the complexity of those used in the ancient Near East, Egypt, and China. These were constructed using relatively simple excavation tools, without the benefit of advanced engineering technologies, and achieved drops of a few feet per mile, balancing erosion and siltation. The Hohokam cultivated varieties of cotton, tobacco, maize, beans and squash, as well as harvested an assortment of wild plants. Late in the Hohokam Chronological Sequence, they also used extensive dry-farming systems, primarily to grow agave for food and fiber. Their reliance on agricultural strategies based on canal irrigation, vital in their less than hospitable desert environment and arid climate, provided the basis for the aggregation of rural populations into stable urban centers.[23]

Present extentEdit


Irrigation ditch in Montour County, Pennsylvania, off Strawberry Ridge Road
In the mid-20th century, the advent of diesel and electric motors led to systems that could pump groundwaterout of major aquifers faster thandrainage basins could refill them. This can lead to permanent loss of aquifer capacity, decreased water quality, ground subsidence, and other problems. The future of food production in such areas as the North China Plain, thePunjab, and the Great Plains of the US is threatened by this phenomenon.[24][25]
At the global scale, 2,788,000 km² (689 million acres) of fertile land was equipped with irrigation infrastructure around the year 2000. About 68% of the area equipped for irrigation is located in Asia, 17% in the America, 9% in Europe, 5% in Africa and 1% in Oceania. The largest contiguous areas of high irrigation density are found:
  • In Northern India and Pakistan along the Ganges and Indus rivers
  • In the Hai He, Huang He and Yangtze basins in China
  • Along the Nile river in Egypt and Sudan
  • In the Mississippi-Missouri river basin and in parts of California
Smaller irrigation areas are spread across almost all populated parts of the world.[26]
Only eight years later in 2008, the scale of irrigated land increased to an estimated total of 3,245,566 km² (802 million acres), which is nearly the size of India.[27]

Types of irrigationEdit


Basin flood irrigation of wheat

Irrigation of land in Punjab, Pakistan
Various types of irrigation techniques differ in how the water obtained from the source is distributed within the field. In general, the goal is to supply the entire field uniformly with water, so that each plant has the amount of water it needs, neither too much nor too little.

Surface irrigationEdit

Main article: Surface irrigation
In surface (furrowflood, or level basin) irrigation systems, water moves across the surface of agricultural lands, in order to wet it and infiltrate into the soil. Surface irrigation can be subdivided into furrow, borderstrip or basin irrigation. It is often called flood irrigation when the irrigation results in flooding or near flooding of the cultivated land. Historically, this has been the most common method of irrigating agricultural land and still used in most parts of the world.
Where water levels from the irrigation source permit, the levels are controlled by dikes, usually plugged by soil. This is often seen in terraced rice fields (rice paddies), where the method is used to flood or control the level of water in each distinct field. In some cases, the water is pumped, or lifted by human or animal power to the level of the land. The field water efficiency of surface irrigation is typically lower than other forms of irrigation but has the potential for efficiencies in the range of 70% - 90% under appropriate management.

Localized irrigationEdit


Impact sprinkler head
Localized irrigation is a system where water is distributed under low pressure through a piped network, in a pre-determined pattern, and applied as a small discharge to each plant or adjacent to it. Drip irrigation, spray or micro-sprinkler irrigation and bubbler irrigation belong to this category of irrigation methods.[28]

Subsurface textile irrigationEdit


Diagram showing the structure of an example SSTI installation
Subsurface Textile Irrigation (SSTI) is a technology designed specifically for subsurface irrigation in all soil textures from desert sands to heavy clays. A typical subsurface textile irrigation system has an impermeable base layer (usually polyethylene or polypropylene), a drip line running along that base, a layer of geotextile on top of the drip line and, finally, a narrow impermeable layer on top of the geotextile (see diagram). Unlike standard drip irrigation, the spacing of emitters in the drip pipe is not critical as the geotextile moves the water along the fabric up to 2 m from the dripper.

Drip irrigationEdit


Drip irrigation layout and its parts

Drip irrigation – a dripper in action

Grapes in Petrolina, only made possible in this semi arid area by drip irrigation
Main article: Drip irrigation
Drip (or micro) irrigation, also known as trickle irrigation, functions as its name suggests. In this system water falls drop by drop just at the position of roots. Water is delivered at or near the rootzone of plants, drop by drop. This method can be the most water-efficient method of irrigation,[29] if managed properly, since evaporation and runoff are minimized. The field water efficiency of drip irrigation is typically in the range of 80 to 90 percent when managed correctly.
In modern agriculture, drip irrigation is often combined with plastic mulch, further reducing evaporation, and is also the means of delivery of fertilizer. The process is known as fertigation.
Deep percolation, where water moves below the root zone, can occur if a drip system is operated for too long or if the delivery rate is too high. Drip irrigation methods range from very high-tech and computerized to low-tech and labor-intensive. Lower water pressures are usually needed than for most other types of systems, with the exception of low energy center pivot systems and surface irrigation systems, and the system can be designed for uniformity throughout a field or for precise water delivery to individual plants in a landscape containing a mix of plant species. Although it is difficult to regulate pressure on steep slopes, pressure compensating emitters are available, so the field does not have to be level. High-tech solutions involve precisely calibrated emitters located along lines of tubing that extend from a computerized set of valves.

Irrigation using sprinkler systemsEdit


Sprinkler irrigation of blueberries inPlainville, New York, United States

A traveling sprinkler at Millets Farm Centre, Oxfordshire, United Kingdom
Further information: Irrigation sprinkler
In sprinkler or overhead irrigation, water is piped to one or more central locations within the field and distributed by overhead high-pressure sprinklers or guns. A system utilizing sprinklers, sprays, or guns mounted overhead on permanently installed risers is often referred to as a solid-set irrigation system. Higher pressure sprinklers that rotate are called rotors an are driven by a ball drive, gear drive, or impact mechanism. Rotors can be designed to rotate in a full or partial circle. Guns are similar to rotors, except that they generally operate at very high pressures of 40 to 130 lbf/in² (275 to 900 kPa) and flows of 50 to 1200 US gal/min (3 to 76 L/s), usually with nozzle diameters in the range of 0.5 to 1.9 inches (10 to 50 mm). Guns are used not only for irrigation, but also for industrial applications such as dust suppression and logging.
Sprinklers can also be mounted on moving platforms connected to the water source by a hose. Automatically moving wheeled systems known astraveling sprinklers may irrigate areas such as small farms, sports fields, parks, pastures, and cemeteries unattended. Most of these utilize a length of polyethylene tubing wound on a steel drum. As the tubing is wound on the drum powered by the irrigation water or a small gas engine, the sprinkler is pulled across the field. When the sprinkler arrives back at the reel the system shuts off. This type of system is known to most people as a "waterreel" traveling irrigation sprinkler and they are used extensively for dust suppression, irrigation, and land application of waste water.
Other travelers use a flat rubber hose that is dragged along behind while the sprinkler platform is pulled by a cable. These cable-type travelers are definitely old technology and their use is limited in today's modern irrigation projects.

Irrigation using Center pivotEdit


A small center pivot system from beginning to end

The hub of a center-pivot irrigation system

Rotator style pivot applicator sprinkler

Center pivot with drop sprinklers

Wheel line irrigation system in Idaho, 2001
Main article: Center pivot irrigation
Center pivot irrigation is a form of sprinkler irrigation consisting of several segments of pipe (usually galvanized steel or aluminium) joined together and supported by trusses, mounted on wheeled towers with sprinklers positioned along its length.[30] The system moves in a circular pattern and is fed with water from the pivot point at the center of the arc. These systems are found and used in all parts of the world and allow irrigation of all types of terrain. Newer systems have drop sprinkler heads as shown in the image that follows.
Most center pivot systems now have drops hanging from a u-shaped pipe attached at the top of the pipe with sprinkler head that are positioned a few feet (at most) above the crop, thus limiting evaporative losses. Drops can also be used with drag hoses or bubblers that deposit the water directly on the ground between crops. Crops are often planted in a circle to conform to the center pivot. This type of system is known as LEPA (Low Energy Precision Application). Originally, most center pivots were water powered. These were replaced by hydraulic systems (T-L Irrigation) and electric motor driven systems (Reinke, Valley, Zimmatic). Many modern pivots feature GPSdevices.[citation needed]

Irrigation by Lateral move (side roll, wheel line, wheelmove)[31][32]Edit

series of pipes, each with a wheel of about 1.5 m diameter permanently affixed to its midpoint, and sprinklers along its length, are coupled together. Water is supplied at one end using a large hose. After sufficient irrigation has been applied to one strip of the field, the hose is removed, the water drained from the system, and the assembly rolled either by hand or with a purpose-built mechanism, so that the sprinklers are moved to a different position across the field. The hose is reconnected. The process is repeated in a pattern until the whole field has been irrigated.
This system is less expensive to install than a center pivot, but much more labor-intensive to operate - it does not travel automatically across the field: it applies water in a stationary strip, must be drained, and then rolled to a new strip. Most systems use 4 or 5-inch (130 mm) diameter aluminum pipe. The pipe doubles both as water transport and as an axle for rotating all the wheels. A drive system (often found near the centre of the wheel line) rotates the clamped-together pipe sections as a single axle, rolling the whole wheel line. Manual adjustment of individual wheel positions may be necessary if the system becomes misaligned.
Wheel line systems are limited in the amount of water they can carry, and limited in the height of crops that can be irrigated. One useful feature of a lateral move system is that it consists of sections that can be easily disconnected, adapting to field shape as the line is moved. They are most often used for small, rectilinear, or oddly-shaped fields, hilly or mountainous regions, or in regions where labor is inexpensive.

Sub-irrigationEdit

Subirrigation has been used for many years in field crops in areas with highwater tables. It is a method of artificially raising the water table to allow the soilto be moistened from below the plants'root zone. Often those systems are located on permanent grasslands in lowlands or river valleys and combined with drainage infrastructure. A system of pumping stations, canals, weirs and gates allows it to increase or decrease the water level in a network of ditches and thereby control the water table.
Sub-irrigation is also used incommercial greenhouse production, usually for potted plants. Water is delivered from below, absorbed upwards, and the excess collected for recycling. Typically, a solution of water and nutrients floods a container or flows through a trough for a short period of time, 10–20 minutes, and is then pumped back into a holding tank for reuse. Sub-irrigation in greenhouses requires fairly sophisticated, expensive equipment and management. Advantages are water and nutrient conservation, and labor-saving through lowered system maintenance andautomation. It is similar in principle and action to subsurface basin irrigation.

Irrigation Automatically, non-electric using buckets and ropesEdit

Besides the common manual watering by bucket, an automated, natural version of this also exists. Using plain polyester ropes combined with a prepared ground mixture can be used to water plants from a vessel filled with water.[33][34][35]
The ground mixture would need to be made depending on the plant itself, yet would mostly consist of black potting soil, vermiculite and perlite. This system would (with certain crops) allow to save expenses as it does not consume any electricity and only little water (unlike sprinklers, water timers, etc.). However, it may only be used with certain crops (probably mostly larger crops that do not need a humid environment; perhaps e.g. paprikas).[citation needed]

Irrigation using water condensed from humid airEdit

In countries where at night, humid air sweeps the countryside.Water can be obtained from the humid air bycondensation onto cold surfaces. This is for example practiced in the vineyards atLanzarote using stones to condense water or with various fog collectorsbased on canvas or foil sheets.

In-ground irrigationEdit

Most commercial and residential irrigation systems are "in ground" systems, which means that everything isburied in the ground. With the pipes,sprinklers, emitters (drippers), and irrigation valves being hidden, it makes for a cleaner, more presentable landscape without garden hoses or other items having to be moved around manually. This does, however, create some drawbacks in the maintenance of a completely buried system.
Most irrigation systems are divided into zones. A zone is a single irrigation valve and one or a group of drippers or sprinklers that are connected by pipes or tubes. Irrigation systems are divided into zones because there is usually not enough pressure and available flow to run sprinklers for an entire yard or sports field at once. Each zone has asolenoid valve on it that is controlled via wire by an irrigation controller. Theirrigation controller is either a mechanical (now the "dinosaur" type) or electrical device that signals a zone to turn on at a specific time and keeps it on for a specified amount of time. "Smart Controller" is a recent term for a controller that is capable of adjusting the watering time by itself in response to current environmental conditions. The smart controller determines current conditions by means of historic weather data for the local area, a soil moisture sensor (water potential or water content), rain sensor, or in more sophisticated systems satellite feed weather station, or a combination of these.
When a zone comes on, the water flows through the lateral lines and ultimately ends up at the irrigation emitter (drip) orsprinkler heads. Many sprinklers have pipe thread inlets on the bottom of them which allows a fitting and the pipe to be attached to them. The sprinklers are usually installed with the top of the head flush with the ground surface. When the water is pressurized, the head will pop up out of the ground and water the desired area until the valve closes and shuts off that zone. Once there is no more water pressure in the lateral line, the sprinkler head will retract back into the ground. Emitters are generally laid on the soil surface or buried a few inches to reduce evaporation losses.

Water sourcesEdit


Irrigation is underway by pump-enabledextraction directly from the Gumti, seen in the background, in ComillaBangladesh.
Irrigation water can come from groundwater (extracted from springs or by using wells), from surface water (withdrawn from riverslakes orreservoirs) or from non-conventional sources like treated wastewater,desalinated water or drainage water. A special form of irrigation using surface water is spate irrigation, also calledfloodwater harvesting. In case of a flood (spate), water is diverted to normally dry river beds (wadis) using a network of dams, gates and channels and spread over large areas. The moisture stored in the soil will be used thereafter to grow crops. Spate irrigation areas are in particular located in semi-arid or arid, mountainous regions. While floodwater harvesting belongs to the accepted irrigation methods, rainwater harvestingis usually not considered as a form of irrigation. Rainwater harvesting is the collection of runoff water from roofs or unused land and the concentration of this.
Around 90% of wastewater produced globally remains untreated, causing widespread water pollution, especially in low-income countries. Increasingly, agriculture uses untreated wastewater as a source of irrigation water. Cities provide lucrative markets for fresh produce, so are attractive to farmers. However, because agriculture has to compete for increasingly scarce water resources with industry and municipal users (see Water scarcity below), there is often no alternative for farmers but to use water polluted with urban waste, including sewage, directly to water their crops. Significant health hazards can result from using water loaded with pathogens in this way, especially if people eat raw vegetables that have been irrigated with the polluted water. The International Water Management Institute has worked in India, Pakistan, Vietnam, Ghana, Ethiopia, Mexico and other countries on various projects aimed at assessing and reducing risks of wastewater irrigation. They advocate a 'multiple-barrier' approach to wastewater use, where farmers are encouraged to adopt various risk-reducing behaviours. These include ceasing irrigation a few days before harvesting to allow pathogens to die off in the sunlight, applying water carefully so it does not contaminate leaves likely to be eaten raw, cleaning vegetables with disinfectant or allowing fecal sludge used in farming to dry before being used as a human manure.[36] TheWorld Health Organization has developed guidelines for safe water use.
There are numerous benefits of using recycled water for irrigation, including the low cost (when compared to other sources, particularly in an urban area), consistency of supply (regardless of season, climatic conditions and associated water restrictions), and general consistency of quality. Irrigation of recycled wastewater is also considered as a means for plant fertilization and particularly nutrient supplementation. This approach carries with it a risk of soil and water pollution through excessive wastewater application. Hence, a detailed understanding of soil water conditions is essential for effective utilization of wastewater for irrigation.[37]

EfficiencyEdit


Young engineers restoring and developing the old Mughal irrigation system during the reign of the Mughal Emperor Bahadur Shah II
Modern irrigation methods are efficient enough to supply the entire field uniformly with water, so that each plant has the amount of water it needs, neither too much nor too little.[38] Water use efficiency in the field can be determined as follows:
  • Field Water Efficiency (%) = (Water Transpired by Crop ÷ Water Applied to Field) x 100
Until 1960s, the common perception was that water was an infinite resource. At that time, there were fewer than half the current number of people on the planet. People were not as wealthy as today, consumed fewer calories and ate less meat, so less water was needed to produce their food. They required a third of the volume of water we presently take from rivers. Today, the competition for water resources is much more intense. This is because there are now more than seven billion people on the planet, their consumption of water-thirsty meat and vegetables is rising, and there is increasing competition for water fromindustryurbanisation and biofuel crops. To avoid a global water crisis, farmers will have to strive to increase productivity to meet growing demands for food, while industry and cities find ways to use water more efficiently.[39]
Successful agriculture is dependent upon farmers having sufficient access to water. However, water scarcity is already a critical constraint to farming in many parts of the world. With regards to agriculture, the World Bank targets food production and water management as an increasingly global issue that is fostering a growing debate.[40] Physical water scarcity is where there is not enough water to meet all demands, including that needed for ecosystems to function effectively. Arid regions frequently suffer from physical water scarcity. It also occurs where water seems abundant but where resources are over-committed. This can happen where there is overdevelopment of hydraulic infrastructure, usually for irrigation. Symptoms of physical water scarcity include environmental degradation and declining groundwater. Economic scarcity, meanwhile, is caused by a lack of investment in water or insufficient human capacity to satisfy the demand for water. Symptoms ofeconomic water scarcity include a lack of infrastructure, with people often having to fetch water from rivers for domestic and agricultural uses. Some 2.8 billion people currently live in water-scarce areas.[41]

Technical challengesEdit

Irrigation schemes involve solving numerous engineering and economic problems while minimizing negative environmental impact.[42]