Wednesday, June 21, 2017

TRAFIKI AUAWA, GARI LAO LACHOMWA MOTO KIBITI #johnleo

TRAFIKI AUAWA, GARI LAO LACHOMWA MOTO KIBITI
Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.
Taarifa za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.... http://www.mwananchi.co.tz/habari/Trafiki-auawa--gari-lao-lachomwa-moto-Kibiti/1597578-3981104-sf8vh4/index.html

Sunday, June 18, 2017